Jamani kuna wanawake wanalala fofofo!

Jamani kuna wanawake wanalala fofofo!

Huyo wala hakua analala fofofo...

Alikua anajua sana ulichokua unamfanyia, sema tu ulishindwa kujiongeza...


Cc: mahondaw
 
duh ila we jamaa una moyo mi usiku ukishaingia dirisha la mtu nalipitia mbali...
utakuja kuitiwa mwizi bure.. raia wenye hasira kali wakuonyeshe show!!utafurahi na roho yako..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom