Jamani kuna nini kwani kinaendelea Tanzania kwa sasa?



Mkuu:
Bashite nae fisadi?
 
Number nazani zinasomeka vizuri sana
 
Duh hivi unajielewa kweli wew?
 
Bashite bashite bashite kasababisha yote haya. Mange pia anasababish Bashite asitumbuliwe, angeacha kumpelekesha Magu pengn angeshamtumbua zaman lkn saivi wanaonyeshana ubabe tu halafu nyasi ndo zinaumia
 
Duh hivi unajielewa kweli wew?
Nchi iko salama kabisa hakuna shida,na wanaiona nchi ina shida ni wenye uchu wa Mali za nchi hii ambao kwa sasa hawana nafasi ya kuzipata kama ilivyokuwa awali.

Usituletee ngonjera hapa kuwa kuna shida ndani ya Tanzania wakati wewe ni mmoja wa unaopinga kazi nzuri za Rais wa nchi anazozifanya.

Nchi iko salama na wanainchi wako salama wala sijaona hicho unachoshangaa.
 
Nchi iko salama kabisa hii ya Tanzania, ila kama propaganda zinaenezwa kuwa Tanzania sio salama ukimuuliza kwanini sio salama hajui.

Nijuavyo Mimi Tanzania Tuko salama kabisa wala hakuna shida.

Huo uhalifu unaotokea ni kama uhalifu mwingine wowote ule na utashughulikiwa kama uhalifu mwingine unavyoshughulikia.

Hatuna jambo jipya ila kuna watu wanataka tuamini nchi haiko salama kitu ambacho si kweli.

Kama kutekwa watu haijaanza Leo,watu kupotea hakujaanza leo,kuuwawa watu na majambazi hakujaanza Leo,kuibiwa watu hakujaanza leo.

Ni matukio ambayo yapo na ni kiwango cha chini sana ambacho hakiwezi kuathiri amani ya nchi kiasi cha kusema nchi haiko salama.
Hakuna nchi iliyo salama wewe! Achana na kudumaza akili yako huku ukifumba macho eti nchi iko salama!
 
Hatumjui huyo Bashite

Mkuu:
Usiwe mvivu wa kufikiri, jaribu kutumia fikra zako kidogo sana ktk duru za siasa zinazo endelea kwa sasa hapa nchini na hatimae utamjua huyo Bashite.
 
Mkuu:
Usiwe mvivu wa kufikiri, jaribu kutumia fikra zako kidogo sana ktk duru za siasa zinazo endelea kwa sasa hapa nchini na hatimae utamjua huyo Bashite.
Hatumjui Bashite
 
Mkuu:
Ha Ha Haaaaaaaaaaaaaa!
Hatumjui Bashiteeeeeeeee
Hata Bungeni nimemsikia Mh Mdee na Mh Sugu wanalitaja hili jina ndiyo najiuliza ni nani huyu.

Maana inaonekana ni MTU maarufu sana huyu.Lakini ni nani hasa na Anafanya nini?
 
Nani kakwambia kuwa anayehusika kutoa roho za watu anaitwa Israel?
 
Kwani unatokea nchi gani?OK karbu ila kinachoendelea tunaogopa kusema ukweli ata watakaojibu watakuambia uongo au ya juu juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…