Jamani kuna mtu anaitwa Tale yupo Clouds fm anaboa.

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Kuna yule dogo aliyeandika bongo flavour kwenye paper yake ya form IV.
Dogo anajaribu kujieleza studio lakini jamaa(Tale) anampinga bila point kabisa.
Yani anakera kweli.
(kipindi cha njia panda)
 
Kwanza me hyo Station yenyewe siipendi hata kuisikia.
Hasa yule Ephraim.
 
wapo kule mikocheni peleka malalamiko yako... hapa hakuna msaada Zaidi sana hadi we mwenyewe utapigwa madongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom