Jamani kuna mimba hapa?

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,426
1,431
Wakuu mke wangu ana mzunguko wa siku 30.

Huwa anaingia siku zake tarehe sita na saba hivi,sasa nimekutana naye kuanzia tarehe 20-28.

Siku tatu za mwanzo tulitumia kinga ila zilizobaki tulitumia withdraw method.

Sasa jana tarehe 6 hajaona kitu na leo pia, hamna kitu je kutakua na mimba?
 
Last edited by a moderator:
Je hutaki mke wako kupata mimba ya mbegu zako!? Una furaha au huzuni. Ila mimi mahesabu ya tarehe za mimba nimemwachia mke, mimi ni kutii maelekezo tu, akisema leo ni hatari, basi naepuka. Nina watoto kadhaa, wanatosha.
 
Inaweza kuwa imechelewa tu asubiri baada ya wiki mbili apime kwa kipimo cha mkojo
 
Back
Top Bottom