Jamani kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kulikoni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shishi, Feb 19, 2009.

 1. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hivi ni kwa nini watu wamekuwa walaghai sana tena sana.....mie nashindwa kabisa!:mad:
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Feb 19, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Dear Shishi

  Inategemea ulijuana na huyo mtu kwa njia gani na je kama kwa njia ya mtandao uliwahi kuchunguza mambo yake mbali mbali , mahusiano yake na jamii haswa kikazi na kadhalika ?
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Feb 19, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ila watch out na watu wa mitandao huku kuna mambo sana uliza walio kuwa na experiance kuna wengine wamekimbia jamii forums kisa alikutana na kibuzi humu --- akaja kushituka mume wa mtu basi akakacha kuja tena
   
Loading...