Jamani,kulikoni Ivorycoast? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani,kulikoni Ivorycoast?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Feb 22, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jamani mgogoro wa kisiasa wa Ivorycoast umeishiaje au unaendeleaje?
  Ile presure yote ya dunia ambayo ilikuwa anapewa rais fake Ghagbo ime
  ishia wapi? Ile presure ya marais wa Africa na dunia yote ya kumpa masiku
  ya kuachia madaraka kwa rais aliyeshinda Quwatara imeishia wapi? Ile presure
  ya kusema watamtoa kwa nguvu ya mtutu wa bunduki imeishia wapi? Na je,
  yule rais anayeishi Hotelini atakaa pale hadi lini? Au ndiyo marais wetu wa africa
  wameshamwambia Ghagbo asiondoke ili waendeleze utamaduni wao wa kung'a
  ng'ania madaraka ili waendelee kutawala na vyama vyao hadi kiama?
  Jamani Africa' Lol!
   
Loading...