Jamani kufumaniwa noma

Jamani kufumaniwa noma

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
908
Jamaa mmoja baada ya kufumaniwa akizini na mke wa mtu alikimbia uchi hadi nyumbani kwake: Mkewe akamuuliza kulikoni hivi tena: Mume akajibu nimevamiwa na majambazi wameninyang'anya kila kitu hadi nguo: Mke akajibu pole sana hao majambazi wakorofi sana wamekuvalisha mpaka Condom walikuwa wanataka uwalawiti nini
 
Hatari lakini salama,teh teh.....
 
ingekua mimi mkewe ningemwambia njoo tuendeleeeee;
 
Back
Top Bottom