Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS

aisee kumbe wengi hamuelewi?????
unapokuwa in a mood for sex na love
liquid zinazotoka mwilini ni tofauti na liquid za wakati mwingine...
mfano amevaa boxer yangu kumbe yuko kwenye periods,??umeona???????
akiwa kwenye periods na akiwa yuko msafi na in a mood for sex ni vitu viwili tofauti....
sasa mkizoeshana its ok,hutaweza mzuia siku nyingine? mimi hata denda bila kupiga mswaki asubuhi no....lol
strange eh????
halikubaliki kabisa eti mswaki taulo haifai jamani vitu vingine vya kuiga havifai kabisa
Bado sielewi kwa nini watu tunaona kinyaa kuchangia mswaki ilhali denda, kula koni, na kuzama baharini kusaka chumvi tunaona ni sawa
Bado sielewi kwa nini watu tunaona kinyaa kuchangia mswaki ilhali denda, kula koni, na kuzama baharini kusaka chumvi tunaona ni sawa
Nimeshakuelewa..wewe una kinyaa sana..and nasty 'love making' is not for you!
Very strange!!!!.....wakati 'making love' in the morning bila kutoka kitandani is the best one...
Kwa mwanamke msafi hawezi akaamua kuvaa boxer yako wakati yupo kwenye periods..au zile tarehe zinazokaribia,wengi tunakuwa na nguo ya ndani maalum ya kipindi hicho..personally siwezi kuvaa chupi nyeupe nikijua nakaribia period,likewise kuvaa boxer ya jamaa...
Nimeshakuelewa..wewe una kinyaa sana..and nasty 'love making' is not for you!
ni kwasabu unapokuwa in a mood for sex
liquid za mwili zinabadilika......ndo maana mate ya mpenzi wako akiyatema kwenye kisahani huwezi ya lamba....
its different kwa kweli......mwili una siri zake nyiingi mno...
chemicals za mwilini zina meengi ambayo hatuyajui....
Tunachoona ku-share mswaki ni "way unhygienic".
Hapa tunazungumza bila ya influence ya hormones na mazagazaga mengine yanayoziba ufahamu rational wa kawaida tofauti unapokuwa kwenye tendo la kujamiiana kwa mfano (lol @ kujamiiana)
Bado sielewi kwa nini watu tunaona kinyaa kuchangia mswaki ilhali denda, kula koni, na kuzama baharini kusaka chumvi tunaona ni sawa
hebu na mimi nianze
siku akikataa kuchangia vitu na mimi ndo mwisho.. :ballchain:
Yaaani....i wonder too! Au wakati wa tukio huwa wanakuwa unconscious hawatambui safi na chafu....while wakati wa kupiga mswaki na mengineyo akili zao huwa sawa..
Yaaani....i wonder too! Au wakati wa tukio huwa wanakuwa unconscious hawatambui safi na chafu....while wakati wa kupiga mswaki na mengineyo akili zao huwa sawa..
Bado sielewi kwa nini watu tunaona kinyaa kuchangia mswaki ilhali denda, kula koni, na kuzama baharini kusaka chumvi tunaona ni sawa
Hapo kwa mujibu wa mwalimu Gaijin, kuna kuwa na 'temporal insanity'...