Jamani kizazi hiki ni balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kizazi hiki ni balaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by M-bongotz, Mar 12, 2011.

 1. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,734
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  wadau naomba mnisaidie kwenye hili..

  Nimejaribu kuchunguza na nimegundua kitu katika kizazi hiki cha sasa cha watoto wa kike, ukweli ni kwamba watoto wengi wa kike wanaozaliwa miaka hii hasa maeneo ya mijini wanakuwa ni warembo sana na unaona kale kashepu toka mtoto akiwa mdogo kabisa hii inaashiria wakiwa wakubwa itakuwa balaa zaidi.
  Sijui kama kuna sababu ya kisayansi kwenye hili au ndio wanapata athari za wachina kupitia mama zao.
   
 2. Fanta Face

  Fanta Face Senior Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maziwa ya kopo, Mayai ya kuku wiki moja mbili, Mboga za makopo, Mafuta ya kopo matakataka kibao yanamavitu meeengi utadhani kitu gani hapo hakuna mjadala vyakula vinachangia sana
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Last generation is modified.
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Manage udenda babake manake naona uchunguzi wako umebase kwenye shape zaidi! Vipi tabia zao?
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,734
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ni mapema sana kucomment kwenye tabia zao maana bado ni wadogo, nitafanyia uchunguzi na hilo pia
   
 6. next

  next JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 599
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mmh? We utakuwa bazaz kama sio fataki!
   
 7. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duh mzee we noma, angalia usije kula mvua 30 lakini, manake huu uchunguzi unaonesha kuwa udenda huwa unakutoka sio polepole.
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,001
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kautafit kako ni kakweli 101% ....ila kanahatarisha usalama wako.
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,085
  Likes Received: 2,311
  Trophy Points: 280
  Watu sikuhizi tunachagua nani niki zaa naye ataleta dna mzuri....
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ntakujibu ila designe ka FATAKI hvi
   
 11. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Sasa hapo imagine kizaz cha wajukuu zetu kitakuwaje :pout:
   
 12. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mi ndio maana nawagonga ugali na mlenda kwa sana tu maana haya makuku na mayai yanarutuba feki sana
   
 13. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,056
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nimetoka kidogoooo!!!!!!
   
 14. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,420
  Likes Received: 1,629
  Trophy Points: 280
  unamaanisha nini?
   
Loading...