Mimi pia hicho kiswahili cha hao watu wa Kenya kimeniacha hoi na kucheka sana mpaka mbavu zinaniuma sana, huku nilipo ninao wakenya wa kabila la kikuyu basi hicho kiswahili chao waweza kucheka wanachanganya kiswahili na lugha yao ya kikuyu tehtehteh

<br />
<br />
ile inaitwa sheng ni kiboko....unaweza ongea mbele ya mshua na akatoka kapa....(hasa yale maongezi ya vijana ambayo hawataki mzazi aelewe)
Kwa kiswahili gani mlichonacho? Nikikuta mkenya anaongea na mtu ninayemuheshimu inabidi niondoke taratibu hakawii kutukana akifikiri yupo sahihi halafu ati tunakibabaikia mkuu hapo hamsifiwi "mnanangwa"