Jamani kina mama punguzeni wivu

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Kamwagiwa maji ya Moto na mkewe kisa kakutwa na msg kamwandikia kimada anampenda kuliko mwanamke yoyote duniani
1454529684502.jpg
 
Huyo mwanamke nae, si angeenda kutafuta nje tu.

Kama huyo kaka yangu, mbona huyo wifi atanitambua.
 
Daahh!!! yani huyu jamaa kukaa hawezi wala kujisaidia hawezi..Kazi kwelikweli
 
Ni shiida hadi kero,mie nikiondoka tu na rafiki yangu kwenda kwake ,ameshavuta mdomo,ananinyima raha,
 
Atakukomaje?

Kwanza fikiria katika ndoa hata kama hakuna kuchepuka unafikiri hakuna siri!?

Wifi ndio atajua kuwa kaka ana madada, mateso ya mawifi acha tu nita copy kwa ninayoyasikiaga na kutenda sasa.

Bila kusahau kuonyeshwa kuwa kweli yeye hamfai...
 
Back
Top Bottom