Jamani kina mama kwanini mpo hivi?

Mkuu jamaa kalelewa na mama pekee,kasomeshwa na mama,ndo anakaa na mama hata akioa lazima mke aje akae na mama ake
mhhhh kazi ipo hapo! wanaume wa dizain hii (watoto wa mama) na km hafanyi wala hana maamuzi yyte mpaka amshirikishe mamake bas ni mtihani! hawanaga msimamo wanaume wa hivi haki vile ni sheeda! wafanye sana maombi...wamshirikishe Mungu kwa hili
 
Hapa kweli maombi yanahitaji mkuu tena ya kufunga
 
Huwezi jua mama ameona nini, mitihani ya ndoa si mchezo ndio maana unatanguliziwa cheti kabla ya paper.
 
Sometimes wazazi wanaona mbali sana...

Nyie mnaweza msione, lakini wao washayaona... Unaweza ukamchukia mzazi leo...

Ila kesho nawe ukawa mzazi, ukachukiwa na mwanao/wanaoa, kwa jambo kama hilo hilo,..
Wanasemaga mapenzi ni ya wawili wapendanao
 
Tabia Kama za Joseverest (tabia za kimtogole kwimba)!!??
 
Huwa mama itakua ujanani alikua ngariba mana mpnz ya mtoto wke yeye kuingilia ni kosa aache watu wafanya yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…