Jamani kina mama kwanini mpo hivi?

Enzi za wazazi kuchagua nani aoe/aolewe na watoto wao zilikuwepo lakini kwa ukweli sasa zimepitwa na wakati labda ushauri tu.wazazi tulia wache waoane na huo hakika ndiyo uzazi na ulezi
 
Sawa,ninachomaanisha hapo ni kuwa huyo mwanamke(mama) anamfanyia mtimanyongo mwanamke mwenzie(mchumba wa mtoto wake),hao wote ni wanawake!

Mkuu hilo liko wazi sijui kwanini sisi kwa sisi hatupendani au nayo ni nature?? Dahhhhhhhhhhh

Cc Smart911 Yani tupo na roho nyeusi mnoo
Juzikati hapa kuna jirani yangu alitakiwa kwenda hukoo kijijini kwao na mumewe kumsaidia baadhi ya vitu mamkwe..
Alitakiwa kwenda tangu last week alijizungusha Wee mara nguo sijafua mara naumwa mpaka anaenda hospitali kabisa anadanganya mumewe kuwa anaumwa ili asogeze siku..

Kisa tu mama mkwee hataki kukaa nae sikunyingi.
 
Salama jamani kama uzi unavyojieleza hapo kuna rafiki yangu wa kike kapata mchumba na wanamtoto mmoja hadi saivi mipango ya ndoa wanayotoka siku nyingi Ila tatzo ni mama wa mchumba wake(mama mkwe) hamtaki na hanasababu ya msingi zaidi ya hamuendani,binti mbaya,mara anatabia mbaya na zingine tu za ajabu ajabu na wameshindwa kufanya mipgango ya ndoa coz itakuwa ndoa ya ajabu mama mzazi anasema hata kwa mtutu hawatapata baraka zake labda wafunge akishatoka dunian ila kwa upande wa wazazi wa binti walikuwa tayari kwa ndo ila sasa nao hawataki wanasema hawataki binti yao hakateseke bure ila binti na jamaa wanapendana sanaa tu Naomba kuwauliza wazazi hasa kina mama ni wakwe wa aina gani mnawataka Maoni na ushauri unaruhusiwa kwa ajili ya huyu rafiki yangu kipenzi
tatizo halipo kwa mama mkwee bali tatizo lipo kwa pepo aliye jivaa sura ya huyo mama mkwee!!! solution hapo ni kufunga na kusali ili hivovipingamizi viteketee ndoa haiji kirahis kama tunavofikilia ni kwakusali na kumnuenyekea Mungu ili kama kunavifungo unavo bila wew mwenyewe kujua vikuachie
nàamaanisha hakuna jambo zuri utalipata bila kutoka jasho
 
Enzi za wazazi kuchagua nani aoe/aolewe na watoto wao zilikuwepo lakini kwa ukweli sasa zimepitwa na wakati labda ushauri tu.wazazi tulia wache waoane na huo hakika ndiyo uzazi na ulezi
Kabisa mkuu mapenzi ni ya wawili
 
tatizo halipo kwa mama make bali tatizo lipo kwa pepo aliye jivaa sura ya huyo mama mke!!! solution hapo ni kufunga na kusali ili hivovipingamizi viteketee ndoa haiji kirahis kama tunavofikilia ni kwakusali na kumnuenyekea Mungu ili kama kunavifungo unavo bila wew mwenyewe kujua vikuachie
nàamaanisha hakuna jambo zuri utalipata bila kutoka jasho
Kweli kabisa kunahaja ya kufunga na kuomba
 
Back
Top Bottom