Jamani, Kigodoro kitamu sana! Leo nimeona 'Live', Wee...!!!

Jamani, Kigodoro kitamu sana! Leo nimeona 'Live', Wee...!!!

Wakuu Habar?

Nilikuwa nasikia kigodoro/ kanga moja/ wanawake wanakatika uchi na bia n.k kwa maandalizu ya harusi au sherehe usiku a.k.a vigodoro

Leo saa 8 usiku nimeshuhudia live maeneo ya magomeni makanya, nililala msibani maeneo hayo mitaa kadhaa kukawa na hii kitu wee acha jamani mabinti wanaviuno, nyonga na makaliko wanacheza...jamanii ngoja niishie hapo ni raha kuwaona nilishanga kwanini Kova kapiga marufuku lakini kinapigwa kama kawaa niliambiwa.

Aha! leo nimeona live kigodoro weee mpaka police wa Kova walikuwepo, ila Ukimwi ni rahisi sana kuambukizana kwani mambo ni live sanaaaaaa

Haaa! asante makanya.

Weka picha!

Wa Mikoani tule kwa macho!
 
wakishua bwana...
lol
si tumeoea..ukimwi hauambukizwi kizembe ivo
 
yaani kuona laivu laivu ndio upate ukimwi....?
 
Back
Top Bottom