Jamani, Kigodoro kitamu sana! Leo nimeona 'Live', Wee...!!!

Aiseeee ....hongera sana kwa kuona,naona umefurahia kuliko ambavyo ungemwona Mungu, binadamu bana

Sio kila muda mungu tu. ata shetan ana nafsi yake pia ingawa mungu ni bora.
 
Kuna wengine wanajiita BUNYERO BUNYERO...aisee ni hatari!!!
 
Wakuu Habar?

Nilikuwa nasikia kigodoro/ kanga moja/ wanawake wanakatika uchi na bia n.k kwa maandalizu ya harusi au sherehe usiku a.k.a vigodoro

Leo saa 8 usiku nimeshuhudia live maeneo ya magomeni makanya, nililala msibani maeneo hayo mitaa kadhaa kukawa na hii kitu wee acha jamani mabinti wanaviuno, nyonga na makaliko wanacheza...jamanii ngoja niishie hapo ni raha kuwaona nilishanga kwanini Kova kapiga marufuku lakini kinapigwa kama kawaa niliambiwa.

Aha! leo nimeona live kigodoro weee mpaka police wa Kova walikuwepo, ila Ukimwi ni rahisi sana kuambukizana kwani mambo ni live sanaaaaaa

Haaa! asante makanya.

wanachadema mnamambo
 
Invisible Anzisha na Jukwaa la watoto humu ndani.

Naona wanazid kuongezeka tu idadi yao.
 
kawape pole basi..
matulu yameliwa na risasi!
 
Huna shuguli za kufanya mpaka utuletee uchafu hapa!
 
Wewe hembu Omba msahama kwa muumba wako.
Sie waislam tunaamini kwama Kifo ni mawaidha tosha kwa sie tuliobaki.Na wale wote wanaolala misibani basi wawe wa kumuombea marehem na kumuomba mungu awajaalie na wao wawe na mwisho mwema.Na wanofanya hivyo mungu huwapa daraja kubwa.
Sasa wewe badala yake ndio umeenda kuchumba dhambi telee na kumuongezea Marehem dhambi mbele ya mungu kwa kuwa chanzo cha kulala kwenye msiba wake kuwa uovu kwako.
Mungu atakuhukum na marehem ameshuhudia ubinaadam wako wa kigodoro.
 
Weka kapicha kiongozi...
#TeamMaswali
 
Invisible Anzisha na Jukwaa la watoto humu ndani.

Naona wanazid kuongezeka tu idadi yao.

Wee nursery teacher una matatizo kichwa mwako nasio kila muda unawaza ungese tuuuuu

Hapa ni jukwaa la hoja na habari mchanganyiko....muda mwingine tunapunguza stress za folen n.k...wee unawaza ACT ata majukwaa mengine.

Jiheshim sio kila mtu humu ndani ni mtoto.
 
Wewe hembu Omba msahama kwa muumba wako.
Sie waislam tunaamini kwama Kifo ni mawaidha tosha kwa sie tuliobaki.Na wale wote wanaolala misibani basi wawe wa kumuombea marehem na kumuomba mungu awajaalie na wao wawe na mwisho mwema.Na wanofanya hivyo mungu huwapa daraja kubwa.
Sasa wewe badala yake ndio umeenda kuchumba dhambi telee na kumuongezea Marehem dhambi mbele ya mungu kwa kuwa chanzo cha kulala kwenye msiba wake kuwa uovu kwako.
Mungu atakuhukum na marehem ameshuhudia ubinaadam wako wa kigodoro.

naomba link ya mkutano wa CUF mkuu.
 
Back
Top Bottom