Mkuu kaspersky wapo siriaz sana na biashara, kudownload ni free kabisa na kutuami kwa mwezi mmoja tu kama majaribio, baada ya hapo ni lazima unune keys toka kwao, vinginevyo unaweza kupata keys za mitaani ambazo hutatakiwa kui update hiyo kaspersky yako maana nyingi zinakuwa blocked, hivyo wakishtukia umetumia keys fake wana iblock kabisa hiyo kaspesky yako uliyo install hadi unune keys toka kwao.