Jamani kampala imependelewa!

Jamani kampala imependelewa!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Wiki 2 zilizopitA NILIKUWA kAMPALA! NI LAZIMA TUKUBALI KWA KUNA MAENEO YALIPENDELEWA KUZALISHA WASICHANA WAREMBO! MCHANGANYIKO WA WAGANDA ,WANYAKOLE .WALIO ,WALANGI NA WENGINEO UNAPENDEZESHA JIJI !NI WAKARIMU MWACHESHI ,NK ILA KASORO MOJA TU VIMINI1 WAREMBO WA KAMPALA WANAVAA NGUO FUPI NA HAWAONI SHIDA KUACHA MAPAJA NJEJNJE! NNI VIGUMU KUKUTA BINTI AMEVAA NAUNI AU SKETI NDEFU .....NILIAMBIWA WAMEONGEZEKA KTIAKA MFUNGO WA RAMADHANI ,LAKINI UKWWELI UNABAKI PALE2 KAMPALA INATISHA
 
ila wanagawa sana aisee
 
wengi wa wasichana wazuri unaowaona kampala sio waganda...hapo ni Wanyarwanda(hawa dunia nzima inajua ni wazuri) ,wanyankole, machotara,waelitrea na wengine...waganda pure sio wazuri ,japo kuwa mmoja mmoja wapo ila kwa suala la makalio tu, wamejaaliwa
 
utawajua tu wanaopenda makalio!
 
Mi nikajua unaongelea ma'skyscrapers kama haya!

images
 
tuwekee hiyo mikia ya kondoo tuione kamanda wikiendi ndefu hii
 
Ukipata muda hebu nenda na Kigali alafu ulinganishe na Kampala !!
 
Bwana wanaopinga EAC kwa kweli are missing out on a lot of fun.
 
Weka picha tufanye tathimini ya hilo tatizo mkuu!!
 
Me bado naamini bongo kuna watoto wakali sana bana.
 
Back
Top Bottom