Jamani jf

Siri Sirini

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
547
Reaction score
199
Jf nilivyokumic, kila dk nachokonoa kamchina kangu, asanteni kwa kurudi tena, members nimewamic
 
Kila wakati nilikuwa najaribu kuchungulia huku, mwisho nimeibahatisha.
.
"HERI KIJANA MASKINI MWENYE HEKIMA, KULIKO RAIS MPUMBAVU".
 
Maumivu ya moyo yanaanza kupungua na sasa ndo naanza kkuona umuhimu wa jf!
 
Maumivu ya moyo yanaanza kupungua na sasa ndo naanza kkuona umuhimu wa jf!

na wale waliolazwa watadai wamepona wapewe ruhusa warudi nyumbani waiendeleze jf, mana malaptop yalikuwa likizo, cm zitaanza kuisha charge

HII NDIO JF
 
Jf nilivyokumic, kila dk nachokonoa kamchina kangu, asanteni kwa kurudi tena, members nimewamic

nimeshinda mchana kutwa naichungulia jf kama imerudi,wapiii! Nikaingia fb michosho,wanabidii hamna kitu,fikra pevu no breaking news,kitu jf bana asikuambie mtu.
 
ndo mchangie jf jamani sio tunaipenda bure bure tuchangie kuimaintan loh....suruwali zote zimenipwaya kisa jf haipo hewani
 
nimepungua kilo tano kwa kuikosa jf, kumbe ikifungwa inageuka kuwa diet tosha

Mkuu BT mambo? Za kupoteana?
Shem wangu hajambo?
Umekua wa kwanza kwangu kukupa Hi baada ya Jf kututoa Segerea/Isanga/Keko/Ukonga/Maweni/Butimba/Kitengule n.k
 
Mkuu BT mambo? Za kupoteana?
Shem wangu hajambo?
Umekua wa kwanza kwangu kukupa Hi baada ya Jf kututoa Segerea/Isanga/Keko/Ukonga/Maweni/Butimba/Kitengule n.k

mie mzima judgement,
nashukuru kwa salamu......
Naendelea vyema nipo busy kubana suruali na magauni maana yote yamenipwaya ghafla.....
 
Hii kitu jf imenitesa sana,nimeingia fb nikaona uzushi tu,nikajaribu wanabidii,fikra pevu zote nikaona hakuna cha maana,hakika kwangu jf ni sawa na mke wa pili a.k.a nyumba ndogo ya kutulizia mawazo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…