shikwashikwa
Senior Member
- Jun 5, 2015
- 188
- 46
- Thread starter
- #21
...................yeah changanya na za kwako!!!!
Hapa hata nikimwbia aje kwangu nitakuwa nimemlahisishia...duh! Sijui nafanyaje na koo linaita sasa
...................yeah changanya na za kwako!!!!
Mwenye Mali akijua tarajia Ku shikwashikwa 0713 yako!
Kwel kabisa unasema koo linakiu na jamaa akija akikukuta lazma nzi watue mke wa mtu sumu.
Mkuu unanitisha sasa unataka kuniambia mialiko ikizidi ni bora niahame!? Maana Kinga ni bora kuliko tiba kifo kibaya nchi tamu hii kaka wewe mwenyewe si unashuhudia watangaza njaa ooh sory watangaza Nia walivyo wengi Kama tangazo la usahili wa kazi uhamiaji
Ha ha ha!Toka nje ujiandikishe bvr