Jamani jamani nyie watumishi

Unamaanisha watumishi gani?
MAUDHUI ya picha yaeleza wazi ni watumishi wapi nilowaongelea ......,.. na kama c mtumishi ni sanaa ya UIGIZAJI nimeeleza huko juu kuwa hao WASANII wanaweza sababisha mitazamo tofauti ya jamii juu ya watumishi wa Mungu
 
Huyu atakuwa alikuwa anaombewa na tatizo lilikuwaa kwenye titi la kulia. Naamini baada ya mchungaji kulitomasatomasa vizuri lilipona hapohapo. Au ililazimika waingie round nyingine ya maombi ya faragha?
 
Kama mtizamo ulonao una UKWELI wowote then twaelekea kubaya
 
MAUDHUI ya picha yaeleza wazi ni watumishi wapi nilowaongelea ......,.. na kama c mtumishi ni sanaa ya UIGIZAJI nimeeleza huko juu kuwa hao WASANII wanaweza sababisha mitazamo tofauti ya jamii juu ya watumishi wa Mungu
Huyu mwanamke katekwa na gaidi kaambiwa ajisalimishe kwa kuinua mikono.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] makubwa hayo .... sasa mkono wa huyo gaidi huko kifuani wa nini jamani
 
Jamaa anacheki kwanza kama boobs ni zakweli au ni fake kabla hajatangaza ndoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…