Jamani jamani nyie watumishi

Mkono na kifua ..... mmmmmh!!!???
 
Kwani wanaume wakorofi hawawezi kuwafanyia wake zao hivyo?Kumbuka adhabu ya Mungu ipo
 
Kwani wanaume wakorofi hawawezi kuwafanyia wake zao hivyo?Kumbuka adhabu ya Mungu ipo
Yawezekana wakafanya hivyo pia .... mie sina uhakika .... but picha yaonesha watu wa namna gani? ...hilo ni swali langu kwako
 
Pana member humu kaniita MPUMBAVU kwa kupost hiyo pic na hayo nloandika .... upumbavu wangu ni upi? .....

Kwann usitoe mawazo yako kwa kile kionekanacho .... je ni sahihi kwa kadri watendavyo ama c sahihi?
 
Thibitisha utumishi wake kwanza hatuhitaji maigizo kwa ajili ya kuwachafua na kuwadhalilisha watumishi.thibitisha huo utumishi .!
 
Thibitisha utumishi wake kwanza hatuhitaji maigizo kwa ajili ya kuwachafua na kuwadhalilisha watumishi.thibitisha huo utumishi .!
Nami nakupa mtihani ... itazame vizuri hiyo picha kisha nambie MAUDHUI yake yakoje? ....

Na kama hiyo picha inaukweli wowote kwa jinsi inavyojionyesha .... then hao WATUMISHI wa jinsi hiyo waache huo ULAGHAI maana wanawakosea hao wawafanyiao huo ULAGHAI na wanamkosea Muumba wao pia
 
Na kama ni kazi ya SANAA then hao WASANII wanawakosea WATUMISHI wa MUNGU
 
Hakuna kiashirio cha utumishi .MTU yeyote anaweza Fanya hilo igizo.
 
Naona tatizo kubwa liko kwenye huo mkono mwingine... anafungua zipu!... ya nini wewe mtumishi kufungua zipu ya suluali?!.... ah!
 
Thibitisha utumishi wake kwanza hatuhitaji maigizo kwa ajili ya kuwachafua na kuwadhalilisha watumishi.thibitisha huo utumishi .!

Kwani mtoa mada amesema ni MTUMISHI WA KADA IPI? mbona mnatolea mapovu??? 😉 yeye si heading yake kaandika tu JAMANI NYIE WATUMISHI
 
kama kweli hiyo ipo basi Mungu na amhukumu huyo mtu.
 
Hakuna kiashirio cha utumishi .MTU yeyote anaweza Fanya hilo igizo.
Mwanamke kapiga magoti then kainua mikono juu kama anaeombewa .... swali kama ndivyo je huyo aliye mbele yake afanya kazi gani kama c kumuombea?

Pia nakushauri pitia comments zangu hapo juu .... yawezekana ukapata jibu la swali lako pia
 
Kwani mtoa mada amesema ni MTUMISHI WA KADA IPI? mbona mnatolea mapovu??? 😉 yeye si heading yake kaandika tu JAMANI NYIE WATUMISHI
Tatizo wengi humu jukwaani hukimbilia ku-comment huku mapovu yakiwatoka kabla hata ya kuisoma picha ama ujumbe ulotolewa vizuri ili kuyaelewa MAUDHUI yaliyomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…