Jamani jamani mnaiua CCM yetu

Jamani jamani mnaiua CCM yetu

tetea tete

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
388
Reaction score
127
Baba wa Taifa aliwahi kusema kuwa mvunja nchi in mwananchi, nami nasema muuaji wa CCM ni mwanaCCM ukweli yametimia.

Ubinafsi , uroho wa madaraka na kubebana hata kama sifa huna ndio vilivyopelekea kifo cha CCM mwaka huu .

Wajumbe wa kwanza kuipeleka CCM kibra ni kamati ya maadili Na Usalama .

Wajumbe wa pili ni kamati kuu wao ndio waliohakikisha CCM inakufa mwaka huu kwa kukiuka kwa makusudi kanuni ili tu wampitishe wamtakaye na kuwaacha watu wenye sifa na uwezo wa kuongoza.

Hatushangai ila malipo yake in hapa duniani kwa CCM kufa.

Zidumu fikra za mwenyekiti.
 
kipi cha kuiua ccm ?viporo vyenu vya 10-15 mnavyopasha havipashiki?

jipe moyo kwa kutumika... Huendelee kuishi kwa matumaini huku dozi ikikuingia taratibu, hatuna papara kidogo kidogo bila mate
 
mwenye macho haambiwi tazama!!!! nikazi si rahisi kama mnavyo dhani!!! agost 25 tutapata majibu kwa sasa hali bado tete kujua hili angalia UKAWA kunavyo teteleka sasa ina aminika bila Lowasa hawashindi!!! rudi CCM nako hali tete!! japokua mgombea wao kasha anikwa
 
Huyu alieanzisha thread ana hoja ipi? Ni kwa sababu ya kuenguliwa lowassa maana yy ndio anavyoona alikuwa ndio Nyerere wa ccm aonavyo?? Sijamuelewa kwa kweli alichokuwa anakitaka.
 
Huyu alieanzisha thread ana hoja ipi? Ni kwa sababu ya kuenguliwa lowassa maana yy ndio anavyoona alikuwa ndio Nyerere wa ccm aonavyo?? Sijamuelewa kwa kweli alichokuwa anakitaka.

Magamba tulieni,lowassa kuhama mbona inawanyima usingizi na mlishampora haki zake?mwacheni akatafute haki zake.
 
Nilikuwa nampa uzito mdogo Mh. Mbowe kama mwenyekiti wa chama. Sasa NINAMUHESHIMU.
 
Baba wa Taifa aliwahi kusema kuwa mvunja nchi in mwananchi, nami nasema muuaji wa CCM ni mwanaCCM ukweli yametimia.

Ubinafsi , uroho wa madaraka na kubebana hata kama sifa huna ndio vilivyopelekea kifo cha CCM mwaka huu .

Wajumbe wa kwanza kuipeleka CCM kibra ni kamati ya maadili Na Usalama .

Wajumbe wa pili ni kamati kuu wao ndio waliohakikisha CCM inakufa mwaka huu kwa kukiuka kwa makusudi kanuni ili tu wampitishe wamtakaye na kuwaacha watu wenye sifa na uwezo wa kuongoza.

Hatushangai ila malipo yake in hapa duniani kwa CCM kufa.

Zidumu fikra za mwenyekiti.
Hata mchawi huloga hadi 40 yake inapofika ndio hii ya ccm imewasaliti wananchi sasa watakatwa wao okttoba mwaka huu
 
kimbunga na mafuriko yatafunua nyeti za kuku mwaka huu.Lowasa
 
kama kweli lowasa ni fisadi nguli,Kikwete na watu wake waende mahakamani kudhibitisha.Lowasa twambie nani aliileta richmond.
 
Na Kife Tu Nami Nasema Kife Ee Maana Hatuna Namna Nyingine
 
Back
Top Bottom