MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 850
Mkuu tujiulize tumlaumu nani na kwa kiwango gani?
a) Serikali..kwa kiwango gani (%)
b) Mtu mwenyewe (individual)...kwa kiwango gani (%)
c) Jamii (community) ..kwa kiwango gani (%)
watu as individuals lazima wachukie umaskini..watafute namna ya kujikomboa..serikali iweke mkakati tena hata kwa nguvu kukatza nyumba za aina hii popte pale...jamii nzima ione aibu kuwa na nyumba kama hizi..lol
Damn right, ndiyo maana nilisema kila mtu ana lawama kwa kiwango fulani! yaani percentage wise kuanzia mtu mwenyewe, serikali na jamii nzima..lakini kama mtu una sehemu ya hiyo lawama..ikiwa wewe si kilema, etc..lazima ujitahidi kuchukia hali hiyo ndugu..Mkuu mimi nadhani serikali haiwezi kulaumiwa kwa kila kitu. Ila kuna tunazo ita social welfare programs ambazo serikali inabidi itoe kwa wananchi wake. Sasa ukiwa na serikali ambayo ina skendo za mabilioni kila wakati lazima ujiulize hizo pesa zingeenda kwenye social welfare programs zinge wasaidia watu kama hawa wangapi na kwa kiasi gani?
Mkiambiwa pombe sio chai mnasema oooh tumetukanwa.Mkuu tujiulize tumlaumu nani na kwa kiwango gani?
a) Serikali..kwa kiwango gani (%)
b) Mtu mwenyewe (individual)...kwa kiwango gani (%)
c) Jamii (community) ..kwa kiwango gani (%)
watu as individuals lazima wachukie umaskini..watafute namna ya kujikomboa..serikali iweke mkakati tena hata kwa nguvu kukatza nyumba za aina hii popte pale...jamii nzima ione aibu kuwa na nyumba kama hizi..lol
Nilikua napitia mtandao wa Global publishers nikaona picha za baadhi ya wananchi wenzetu. Yani pamoja na umasikini wetu siku tegemea kuona makazi kama haya. Maana hata kijijini kwetu hali ni nafuu. MH! Hapo chini ni maelezo toka kwa mtandao wa GPL
Unaweza ukadhani hapa ni Darfur nchini Sudan lakini ukweli hili ni eneo la makazi katikati ya jiji la Dar es Salaam lilipo eneo la Changombe, wilayani Temeke .Wakazi wa eneo hili wamekuwa wakiishi maisha duni baada eneo hilo kuchukuliwa na mwekezaji mmoja na pesa zao za fidia zilizotolewa awali na mwekezaji huyo kutafunwa na vigogo hali iliyosababisha wakazi wa eneo hilo na mwekezaji kuwa katika mgogoro mkubwa. Sakata hilo limedimu kwa zaidi ya miaka kumi na tisa sasa. Mbali na kuishi maisha duni wakazi hao pia wapo katika eneo la hatari kwani wamezungukwa na matanki ya mafuta ya Petroli pamoja na kemikali zinazotoka katika viwanda vinavyozunguka eneo hilo.Hebu tazama picha hizi 8,9,10 na 11 ujionee jinsi watu hawa wanavyoteseka.
Dah! Yani ina sikitisha sana.