madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 701
TANZIA :
YONA FARES MARO AMETANGULIA, AMEACHA UJUMBE HUU
"Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi.
"Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi. Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendee!"
YONA FARES MARO ALIKUWA NANI?
Marehemu Yona Fares Maro alikuwa mwqnzilishi wa group linalojulikana kwa jina ULINZI NA USALAMA SECURITY.
"Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe"
Pumzika Kwa Amani Kaka Yona Fares Maro.
Chanzo: dar24