KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Dec 24, 2011 #1 WanaJF mambo vp?natumai hamjambo.Jamani naomba kuuliza kwa sisi tunaotumia simu kwenye facebook ni browse ipi iliyo nzuri kama ilivyokuwa BOLT maana ulikuwa na uwezo wa kuona ni nani aliye ONLINE ukaweza chati nae.
WanaJF mambo vp?natumai hamjambo.Jamani naomba kuuliza kwa sisi tunaotumia simu kwenye facebook ni browse ipi iliyo nzuri kama ilivyokuwa BOLT maana ulikuwa na uwezo wa kuona ni nani aliye ONLINE ukaweza chati nae.
Mwanakili90 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,568 Reaction score 246 Dec 24, 2011 #2 nimbuzz
K kop20 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 320 Reaction score 152 Dec 24, 2011 #3 Naimiss sana BOLT toka wafulie hamna browser nyingine kama hiyo
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,910 Reaction score 7,116 Dec 24, 2011 #4 Jamíi forum.
YEYE JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 437 Reaction score 72 Dec 24, 2011 #5 Msarendo said: Jamíi forum. Click to expand... Jamii Forum ni Browser?!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Dec 24, 2011 #6 Uliza habari za humu JF
J junior05 Senior Member Joined May 3, 2011 Posts 186 Reaction score 46 Dec 25, 2011 #7 Kama ni kwa matumizi ya facebook, nimbuzz na ebuddy are the best, kuhusu browser yenye interface ya pc skyfire is much better zaidi ya bolt
Kama ni kwa matumizi ya facebook, nimbuzz na ebuddy are the best, kuhusu browser yenye interface ya pc skyfire is much better zaidi ya bolt
H Hkeen Member Joined Aug 17, 2011 Posts 95 Reaction score 4 Dec 25, 2011 #8 Bolt sasa kwenye website nyingi za bure cion cjuntaipataje
M Mpigaji JF-Expert Member Joined Feb 6, 2011 Posts 384 Reaction score 42 Dec 25, 2011 #10 Mimi natumia bolt browser mpaka muda huu!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Dec 25, 2011 #11 mi nipo zangu na operamini tu maana hayo mengine yapo kiFB na twitter zaidi..
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Dec 25, 2011 #12 nenda wap.getjar.com then search for bolt, lakini mi sidhan kama kuna browser bomba kama opera (not operamin)
nenda wap.getjar.com then search for bolt, lakini mi sidhan kama kuna browser bomba kama opera (not operamin)