Jamani huyu nani tena?

Sisi kule Iringa hatuna R

Hata jina halisi la mkoa lilitakiwa kuwa LILINGA
IRINGA haina maana kabisa
Na wenzetu kule kaskazini hawana L

Utasikia Hivi umeshawahi panda MRIMA KiRImanjaro ati???
Semeji sangu washamba.


Kaaa! be! wa wawapi weweeeeeeee?? sasa we unasemaga niniiiiiii?! ngoja niepushe ban tu hapa!!
 
Wanamwangalia wema alivyokuwa anabembeleza kupokelewa pesa
 
I wish familia zetu za kibongo zingekuwa na Hata mda km Huo Wa kukaa pamoja atlist kwa dk10 mara moja kwa wiki,lakini mmmh,baba akiamka asubui watoto walishatimka kitambo mashuleni,akitoka job apite kwa hawala kwanza mpaka akifika home nane za usiku watoto wamelala,yaweza pita mwezi hajaona watoto wake!!Arghhhh
 
Cheki sebule ilivyo simple ! Nimependa!
 
The most influential person on earth.
Kuna watu watu kama wanne hapo, wewe unamuongelea yupi? Hata kama Obama umekosea sana kwa sababu Obama is not the most influential person on earth, get your facts straight.
 
Duh life la kawaida kabisa la kibongobongo wako miguu peku c unajua tena carpet la manyoa lazima uvue viatu na kikombe alikuwa anakunywa kijoti kaweka chini maisha yanaendelea hapo ni baba na familia yake ...Awesome
 
Hawa walivyo concentrate watakuwa wanaangalia ze comedy tu hawa
 
Tatizo ni foleni barabarani. Dingi lazima adamke kuikwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…