Jamani huyu mwanamke hataki kuongea nami

Jamani huyu mwanamke hataki kuongea nami

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,993
Reaction score
12,041
Wanajamvi nipo safarini Mwanza kikazi ajabu ni kwamba jana mke wangu tulipishana kauli kidogo amezira hataki kupokea simu,nina wasiwasi sana
 
Mwenzako anasikilizia utamu wa kumegwa,simu yako inamletea kelele...pole sana.
 
Polee...muache aku miss kwanza...yeye ni binadamu..atakupigia...
 
unaibiwa ndugu yangu.hapo kuna wanaume yuko juu ya kifua cha mkeo na inaonesha anamgegeda kwa maufundi ya ajabu mpaka mkeo anapagawa na kukusahau.

ushaur
i:kesho asubuhi ukiweza panda basi au ndege ukamfumanie.na ikiwezekana ingia chumbani saa tano za usiku lazima utapishana ka kijeba mlangoni.usiache kurudi kesho,jitahidi omba ruhusa au hairisha hiyo safari
.usijali garama pesa zinatafutwa na zipo tu.
 
Ila wanaume mnaboa kisawasawa...haswaa mnapokua safarini...si ajabu ulimchefua kisa michepuko uko ulipo
 
it happens..... usijali wala usiweke mawazo potofu juu yake.... kesho tu hadi mchana mtakuwa kama kawaida yenu... ila tuma sms za kufuta hasira sio za kumlaumu zaid
 
ingekuwa girlfriend ndio unapata presure, sasa mkeo! piga kimya akikumiss atakupigia.
 
Back
Top Bottom