Jamani huyu mtangazaji nampenda balaa

Lipa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
229
Reaction score
28
Nimetokea kumpenda sn huyu Mtangazaji wa Star Tv/RFA "Christina Mbezi"ila tatizo amegoma kupokea simu zangu...naumia sana.
 
Subir nafikiri unataka yakukute yalo wakuta waliokoswakoswa na vipaja vya kuku
 
TBC kama mwamamke ana sura ya kuvutia hapati kazi. Sijui wanawaokotaga wapi ? Utakuta mi wigi ya kizamani hivi hawajui kwamba mwanamke lazima awe presentabo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…