Fikra zangu mimi zinaniambia unapozungumzwa uzuri inamaanisha ni muonekano wa mtu mbele ya macho ya mtu. Aliye na nywele nzuri, sura nzuri, unyororo na ung'avu wa ngozi, umbile lake na mkao wa mavazi mwilini mwake, atakayevuta macho ya wengi katika hivyo vigezo basi ndiye mzuri bila kujali masuala ya tabia, hicho ni kitu kingine kabisa.
Tatizo kuku wa siku hizi ukiwashika mabawa tu unawakwanyua....hata kukimbia hayawezi...wewe tafuta kuku ya kienyeji nzuri uone utamu...utabugia mchuzi wote na chumvi yake......
zeanimo.., tatizo la moyo wa binadamu ukitamani kitu kwa kiasi kikubwa na kuwa nacho., spidi ya kukichoka inakuwa kubwa pia..! Ukishamtumia hawi wa ajabu tena kama mwanzo..! Jambo la muhimu ni kumuomba MUNGU akupe ustahamilivu na moyo wa kuridhika na uliye naye..!