Jamani huyu Mbui Twite anatuangusha wana Yanga

Hii kweli Klinishiti kwa wana yanga yani hawajafunga tu mpaka leo?

wamfunge nani wajinga wale labda pesa ya epa ianze kutumika..kocha kavaa heleni halafu unamwambia alala na mwanaume mwenzake una tegemea nini?..
 
nilikwambia utafunga domo lako unaona sasa kwisha habari yenu na hapo timu haija kaa pamoja zaidi ya wiki mbili..

Mpira wa Tanzania ni kufunga domo kwa zamu, take my words, ligi ndo kwanza imeanza(ndo kwanza mechi ya 2) usitegemee wewe unayeongea utakuwa unaongea Ligi nzima.
 
Mbui hakucheza nini?au hizi goli zilipitia wapi!mbuyi,yondani,kanavaro,mwasika,chuji,diego,fabregas,kavumbagu...................
majina makubwaaaaaaaaaaaaaaaa.,hakuna kitu.
 
SIMBA SC 2-0 JKT RUVU (Amri Kiemba,Haruna Moshi) FT; MTIBWA SUGAR 3-0 YANGA (Dickson Daudi 11, Husein Javu 45,77) DAKIKA 90;

Kwani Twite anacheza peke yake uwanjani? Acheni hizo banaaa. Yanga bado ngangari na tunajipanga. After all, ligi bado mbichi kabisa, ndo kwanza mechi ya pili (kati ya mechi 26)....
Wanayanga tutulie na tutatoka kivingine tuuuu.....
 
Back
Top Bottom