Jamani huyu Mbui Twite anatuangusha wana Yanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huyu Mbui Twite anatuangusha wana Yanga

Discussion in 'Sports' started by ngangali, Sep 19, 2012.

 1. n

  ngangali Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  SIMBA SC 2-0 JKT RUVU (Amri Kiemba,Haruna Moshi) FT; MTIBWA SUGAR 3-0 YANGA (Dickson Daudi 11, Husein Javu 45,77) DAKIKA 90;
   
 2. C

  Cupid 50mg Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chezea simba wewe!?!?
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,217
  Likes Received: 4,110
  Trophy Points: 280
  Duuuu kazi kwelii ipo mwaka huu!!
   
 4. A

  Absine Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Yanga kunani, mbona mnatulet down.
   
 5. m

  markj JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,750
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  acheni kuumiza akili! sogeeni kideoni 21:45 muangalie soka na wanaosajili wachezaji, na si uhuni wa soka la bongo
   
 6. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  chezea wakata Miwa Wewe.
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Du huu mwaka nimefulia kiushabiki, kule Uingereza nipo na Liverpool na hapa nyumbani nipo na Yanga sasa sijui nikimbilie wapi
   
 8. p

  pilau JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,524
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mbuyi Twite changanya na Kevini Yondani nyunyizia Kavumbangu katia na Chuji usisahau Kiiiiiiiiiiiizaaaaaa yoooooooooote 9 kumi tatizo ni kocha kuvaa heleni na kumlazimisha alale kitanda kimoja na Afisa habari Sendeu, bado analalamika na kitendo alichofanyiwa na Sendeu kulala kitanda kimoja na kuoga maji ya ndoo kwa mikono kabla haja omba kopo la kuogea chumba cha pili.....

   
 9. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 18,480
  Likes Received: 2,536
  Trophy Points: 280
  Na bado.
   
 10. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,496
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  wewe sio mwanayanga kinachkuwasha ni kitu gani?
   
 11. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,453
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Hapo bornagain utanena kwa lugha!!
   
 12. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,453
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Hilo kweli pilau!!
   
 13. b

  blackmail Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fans wa simba mtaongea sana.Yanga bado tunajipanga endeeleni kuchonga :baby:
   
 14. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,290
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Usajili wa magazetini huo.. Rage kawaingiza choo cha mademu.. Mkajua Mbui & Yondani ni ukuta wa Berlin..
   
 15. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Hii kweli Klinishiti kwa wana yanga yani hawajafunga tu mpaka leo?
   
 16. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,691
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hee kumbe hii team ya mtaa wa 2 ina Mashabiki wengi namna hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,217
  Likes Received: 4,110
  Trophy Points: 280
  Kocha yule siku zake zinahesabika kwa kweli!!!ataijuaa fitna na mpira wa kitanzania!
   
 18. n

  ngangali Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi mwana Yanga wa damu
   
 19. n

  ngangali Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa hiyo unataka nikuonyeshe kadi yangu ya "Dar Young African" umoja wa Mataifa au?
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  nilikwambia utafunga domo lako unaona sasa kwisha habari yenu na hapo timu haija kaa pamoja zaidi ya wiki mbili..
   
Loading...