Sim cards zinauzwaje siku hizi? Hata kama landline badili namba unless bado unampenda.ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo amekuwa msumbufu kweli kweli mara anitxt ati japo sitomuoa tuendelee kufanya mapenzi tu.
Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?
Usijaribu kufanya kitu km hicho. Anajua umemtosa kwahiyo njia pekee ya yy kurudiana na ww na kumuoa ni mimba.ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo amekuwa msumbufu kweli kweli mara anitxt ati japo sitomuoa tuendelee kufanya mapenzi tu.
Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?
Anataka akutegeshee mimba huyooondg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo amekuwa msumbufu kweli kweli mara anitxt ati japo sitomuoa tuendelee kufanya mapenzi tu.
Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?
Mkuu usikute tayari huyo binti ni mjamzitoUsijaribu kufanya kitu km hicho. Anajua umemtosa kwahiyo njia pekee ya yy kurudiana na ww na kumuoa ni mimba.
Kwahiyo anakuandalia mimba, ukichomeka tu ww ni baba kijacho.
Na ana amini ukimpa mimba utamuoa.
Maamuzi ni yako
asante mkuu, hata mimi hilo ndo linanipa wasiwasiUsijaribu kufanya kitu km hicho. Anajua umemtosa kwahiyo njia pekee ya yy kurudiana na ww na kumuoa ni mimba.
Kwahiyo anakuandalia mimba, ukichomeka tu ww ni baba kijacho.
Na ana amini ukimpa mimba utamuoa.
Maamuzi ni yako
Huenda sbb kwa watoto wa kike jinsi walivyoumbwa na aibu hawezi kukuladhimisha au kukutaka kingono kiasi hicho. Ila wakipata tatizo wapo lazi watumie njia yyte kutatua tatizoMkuu usikute tayari huyo binti ni mjamzito