Jamani huyu anaumwa nini?

Wacha we, DFOSS... nimekukubali.
Bila shaka we ndo mgunduzi wa huu ugonjwa.
Maana kwenye avatar yako inaonyesha uko nao pia!:eek2:
 
Huyo anaumwa ugonjwa wa world wide web,

tiba yake mpe dozi ya Wifi atapona,
 
Wilbert1974 umejuaje mkuu? Halafu utakuwa uliniona wakati ule nasomea Udaktari wa Medicine kule ng'ambo chuo cha Mabwepande Universal Health Medicine.
 
Kwani jiwe lina mikono ya kubofya keys pads? Wilbert1974 inavyoonekana umeandikiwa uzi maana na wewe unavyoonekana kwenye avatar ni jiwe.
 
Hahahahahahahhaah... wote mmekimbia...tehetehetehetehet.....kwikwikwikwikwikwikwikwikwi......
 
Ni teja wa mambo ya online, sasa alienda kusiko na network hali ikamchenjia
 
nadhani amekuwa affected with withdraw syndrome ya free internet na social networks,
 
Au naye wamemng'oa jino mbona ana tube mdomoni halafu kama mdomo umevimba au ni ukoo wa .......Mbuzi Catholic
 
Back
Top Bottom