teh teh teh teh teh! SOMEONE FEELS LIKE EXPLODING!! HAHAHAHAHAHA!! I GOT YOU BOY! DIDNT I!! The talking mappet!!
hahaha huna ujanja tena now you are like rabbit caught in headlights
MBONA SWALI LANGU UMELIKIMBIA MAXSHIMBA NI WAPI YESU ALIPO SEMA HAKIKA MIMI NI MUNGU!!
We MaxShimba unamuita YESU MUNGU SIO??
Nakuuliza je! Mungu Yesu alisali!? Na akaomba!?
Haya sasa! Ndugu wa JF Angalia movie inayokuja.!!kutoka kwa maxshombo
Wewe MaxShimba sio kila kitu kinaponywa kwa damu ya Yesu.
NI kila kitu
Yesu ni caterpillar hachagui.
tatizo lako litokane na binadamu wenzio, shetani au malaria iliyosababishwa na mbu.
Sasa we njiwa swali lako umejibiwa tayari,kisha ukaambiwa ulete aya ambayo msemaji awe Allah bado unatapatapa tu
'
Leta aya msemaji awe Allah,aseme yeye ni Mungu!
Maxi,nimekugunduwa una coppy na ku paste,vitu ambavyo vimeshajibiwa katka answering christianity,hayo yote unayoleta hapa yameshajibiwa.
Nenda kwenye link hiyo
Matunda ya shule za kata yanaanza kujitokeza,hata kuelewa kakama kila lugha ina mjengo na misemo na utamaduni wake,pia mwashindwa.Kweli kazi ipo.Sasa mbona mnadai mmejibu hapa?Mnajichanganya sana,vipi na huyu www.faithfreedom.org mbona mmeshindwa kumjibu?
Tatizo ya shule za kata ndo matunda yake yanaonekana,maxi,unashindwa hata kuelewa sentesnsi yaamanisha nini,wewe wa copy na kupaste tu.Lakini si kosa lako,ni elimu ya shule za kata,mwalimu katoka na div ziro,ndio anakufundisha,wategemea mwanafunzi utakuwa vipi?
'
hii kopi na paste unajibiwa kila mara lakini kazi yako kurudia na kurudia nakurudia !
!