Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
Eiyer. Narudia tena kusema kama wagalatia wote ni kama wewe basi watu wangevutika hata ktk maongezi nao!

Ninavyoona hii mada ya ALLAH Ni NANI HAITA KWISHA LEO, MIMI NATOA KWENYE KAMUSI, WEWE MWENZANGU UNATOA KICHWA! nimekuonyesha maana ya "ALLAH" KWA KIINGEREZA TOKA KWENYE ENCYCLOPEDIA OF BRITAIN! LKN NAONA HIO PIA HAIKUFAI!!
SASA HAPA SI TUTAKESHA?? LABDA TU NIKUULIZE,
WAKRISTO WA KIARABU WANAMUITA MUNGU WAO NANI?? HILO TU NDUGU YANGU!!
 
Last edited by a moderator:

.........wanakwepa ukweli makusudi ! .......ili uwe Mgalatia lazima uwe "hamnazo"

'Hakika wakosefu (makafiri) wamo katika upotofu na wazimu'
Q:Al Qamaar; 47.
 
Kitoabu ,kumbe unajua kuwa umedandia treni kwa mbele,lakini hata baada ya kujua hilo bado umeendelea kuwa kichwa maji
'
Nimeshazungumza kwenye post zangu nyingi sana kuwa Yesu sio Isa na Allah sio Yehova,kama unataka kujua ni kwanini nimesema yesu anaemzungumza kahtaan simjui ni yupi na anapatikana wapi,soma post zangu zote sio kukurupuka
'
Nimechoka sana na maneno yenu ya kukariri bila kufanya tafiti,hamjiulizi maswali ya msingi kuwa,kama Muhammad amedai kuwa ni mtume wa Mungu Yehova,kwanini aje na jingine wakati jina huwa ni MOJA TU na Mungu amesema "kwa jina hili (Yehova) nitatambulika kwa VIZAZI VYOTE?
'
Inaonekana mmeingizwa chaka nanyi mnaenda tu bila kufikiri!
'
Wake up people!
 
Last edited by a moderator:

Kama mungu anaitwa YEHOVA, vipi huyu mungu YESU anaetangazwa na Max Shimba ?!

Haisaidii kitu kama hutaki wewe Yesu awe Issa ila unakubali Yesu kuwa Jesus !

soma signature yangu inakutosha !
 

"allah" , a common noun -no caps- in Arabic, means 'god', any god. "Allah" - a proper noun- Caps is also the name of the Muslim God/Creator! The use of allah to refer to god by Christians in the Middle East is proper because that is a word in Arabic that means god. You will note that there was trouble recently in Indonesia where there were attempts to have Christians expunge the word 'allah' from their Bibles.
We have parallels in many Bantu languages with Mungu, Mulungu and other variations of the same word to refer to 'God' in various languages.
 
Eiyer, Maneno yako yangekuwa matamu saana kama unatuwekea na kaushahidi kidooogo kutoka katika VITABU VINAVYO KUBALIKA DUNIANI,!!

Nimesema kabla , mtu anaweza kudai chochote kile kuwa ni kweli au uongo, lakini bila ushahidi madhubuti kesi yake inakuwa kama mapovu baharini! hayana nguvu juu ya bahari!!

Sasa, labda tugeuze kidogo hii mada!!

shida yetu si, ALLAH KUWA YEHOVA! wala Yesu kuwa ISSA!,

SHIDA HAPA NI JE! ALLAH NI MUNGU ANAEABUDIWWA NA WAISLAMU TU PEKE YAO?? AU WAKRISTO PIA WANAMUITA MUNGU WAO ALLAH???

SASA NAKUOMBA UTAZAME QURAAN YA KIARABU! NA BIBLIA YA KIARABU!!

In the Name of God, the Compassionate, the Merciful."[Qur'ân 1:1 - Arabic transliteration]
"Bismi-Allahi ar-Rahmani, ar-Raheem"
[Qur'ân 1:1 - Arabic]




[Genesis 1:1 - English Bible - King James Version]
"In the beginning God created the Heaven and the Earth . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic transliteration]
"Fee al-badi' khalaqa Allahu as-Samaawaat wa al-Ard . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic Bible]



[John 3:16 - English Bible - King James Version]
"For God so loved the world, that . . . "
[John 3:16 - Arabic transliteration]
"Li-annhu haakadha ahabba Allahu al-'Aalama hataa badhala . . . "
[John 3:16 - Arabic Bible]



[Luke 1:30 - English Bible - King James Version]" . . . Fear not, Mary: for thou hast found favor with God."
[Luke 1:30 - Arabic transliteration]
" . . . Laa takhaafee, yaa Maryam, li-annaki qad wajadti ni'amat(an) i'nda Allahi."
[Luke 1:30 - Arabic Bible]



Luke 3:38 - English Bible - New King James Version]
"the son of Enos, the son of Seth, the son of Adam, the son of God."
[Luke 3:38 - Arabic transliteration]
"bini Anoosha, bini Sheeti, bini Aaadama, abni Allahi."
[Luke 3:38 - Arabic Bible]



SASA HAPA UTAONA NENO "ALLAH" NDANI YA BIBLIA YA KIARABU WAZIWAZI!

Hapa ndugu Eiyer, Hatubishani ili kutafuta mshindi! bali tunaelimishana na kama unadhani kuna ushindani, basi mimi nikuachie uwanja, maana yake , hata kama nitakupa mifano ilio wazi kama hii, pia utabisha tu! na sioni sababu ya kupoteza muda wako na wangu,

Mungu anasema ktk quraan: Surah 73:19 Lo! This is a Reminder. Let him who will, then, choose a way unto his Lord.

also;
Surah 25:57Say: I ask of you no reward for this, save that whoso will may choose a way unto his Lord

Ahsante kwa kusoma.

cc Izz Ally Kombo



 
Last edited by a moderator:
Now! my friend Reginald12, if you accept that"ALLAH" is NOT only a God of muslims, rather it is a common world for all middle east people to use when they refer " GOD" WHY DONT YOU TELL YOUR FRIENDS AS WELL SO THEY CAN UNDERSTAND THAT!!
 
Last edited by a moderator:
kahtaan, umeeleza vizuri mkuu kua hapa hatuko kwa ajili ya kubishana, bali kuelimisha!

Ndio maana Katika kuelezea kile unachokisimamia unakitolea na vielelezo kama ulivyofanya hapo juu na sio maneno ya kufikirika.

Ingekua vema pia upande wa pili uje na vielelezo vya kupinga hoja ya kahtaan au Ally Kombo
 
Last edited by a moderator:
sijasoma post zako zote humu kama ulijieleza zaidi, ila kama kuna mtu alishauliwa zamani hapo bassi ndie au kuna mtu alikuwa attached na hicho kitanda inategemea sasa ni kwa nani, umepanga? watu/mtu alishaishi hapo kabla yako ni vizuri kuuliza majirani huwa wanajua mengi as wanakuwa wameishi hapo au wengine story zinasumuliwa.

Pia labda hiyo kazi kuna anayeipenda na wanakusambaratia ili uikimbie... nayo inategemea.

pole sana, Mungu atakubariki lala na biblia/rosali etc ukienda na usali.
 
.........nasikia mungu wako aliuliwa msalabani ili wewe uokoke !?

..........kuna ubaya unaozidi wa kumuuua mungu ? :heh:

Sheikh ally. Nenda nao taratibu kaka!

Ukiwapeleka mbio! Watakimbia halafu tutakosa nafasi ya kupiga daawa ndugu yangu.

Tartiiiiibu!

Mbona wanasilimu wengi tu kila siku!

Tena wacha wayahudi weusi! Wazungu walioleta ukristo huko africa wanaingia kwenye hii dini kama wanalipwa!

ALLAHU AKBAR!.

Tartibu kaka!!
 

.........nimekuelewa Mwalimu !:nod:
 

.......wanaelewa masomo yenye utata wa wazi wazi ( tatu katika moja !) lakini somo rahisi hivi .....hawataki !...........sijui wamegeuzwa wapi hawa ?
 
Wee jamaa ni mtata! that thing exists in your brai and not otherwise. There is someone you fear!
 
Mkuu unapo fanya mjadala jitahidi kua na lugha nzuri utakapo tumia lugha za jazba utajikuta unapayuka tu nazaidi utaishiwa pwenti. Nakuomba tumia lugha nzuri hatugombani bali tuna elimishana nahakuna anae lipwa hapa. Labda nikuulize swali lakizushi, ivi Yehova ndie Yesu? Kama yeye (Yehova) atatambulika kwa jina MOJA tu, ili la Yesu umelipata wapi? Au una kubaliana na mimi kua Yesu si mungu?
 
Last edited by a moderator:

ndugu@eiyer tulianza vizuri lkn naona mwenzangu unataka kuwaga wale wenzako, majina mabaya humu ndani yana haribu sifa yako uliokuwa nayo mwanzo, kumuita mtu kichwa maji sidhani kama ni busara na uungwana, lkn tuendelee!
 

ndugu Kitoabu yalaiti huyu mchungaji angekusikiliza basi angepata faida saana! lkn usikate tamaa, labda iko siku atasikiliza!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…