Jamani, hizi ni mbao ngapi 3 au 4?

Jamani, hizi ni mbao ngapi 3 au 4?

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Angalia mchoro huu kwa makini kisha niambie ni mbao ngapi?
406249_10150956037420954_1585181372_n.jpg
 
Dah! Lakin yote yenu ni majibu ila jibu sahihi zaidi nahisi Kibirizi analijua! Hebu tusaidie.....
 
mhh...hizi hesabu za uzeen hizi hebu nipite..
 
Inaumiza macho,inaleta usingizi,chosha akili ni ngazi za kuelekea kwenye uchizi.Endeleen kusumbua vichwa vyenu milembe inawasubiri.
 
Back
Top Bottom