Jamani hivi INAWEZEKANA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hivi INAWEZEKANA?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Old Member (Retired), Oct 5, 2012.

 1. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,450
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwanafunzi nasoma Public Adminstration moja ya vyuo vikuu hapa dar, ndo naingia mwaka wa 3 namalza chuo mwakan mwezi wa sita. Ninataka nianze kuomba kazi yoyote ile itakayo tangazwa kabla sijamaliza chuo, KWA USHAURI WENU NA UZOEFU WENU mnadhani naweza kufanikiwa kupata kazi ikiwa bado nipo chuo pamoja na tatzo la ajira tulilo nalo nchini. Nategemea busara zenu kaka zangu na kina dada zangu.
   
 2. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 772
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Maliza kwanza. huwezi pata may be volunteers
   
 3. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,450
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 0
  nashukuru kwa ushaur wako ndugu yangu
   
 4. betlehem

  betlehem JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 6,997
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuomba kwa matokeo ya form six na hiyo kazi inabidi iwe na mchakato mrefu mpaka kuitwa kazini ili mpaka unaitwa uwe ushamaliza
   
 5. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,450
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 0
  Bado napokea ushauri, naomben mawazo yenu jamani
   
 6. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,450
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 0
  lakini si anaweza akaambatanisha na MATOKEO yake ya chuo mwaka wa kwanza na wa pili? Au unaonaje?
   
 7. Opticf

  Opticf Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ninauhakika inawezekana bt co ya proffesional yako, ukipata ya shifting ni nzuri zaid itakusaidia nawe kupata mda mwingne wa kupga pind kukosa mara moja moja co mby.
   
 8. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,551
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mhh mimi nahisi technically inawezekana but practically is where the problem comes :thinking:

  mtaani naona watu na vyeti kamili tena madaraja mazuri lakini kibarua hamna, kweli bongo kujuana saa nyingine :A S 100:
   
 9. betlehem

  betlehem JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 6,997
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  kwa uzoefu wangu hiyo ya kuambatanisha na sehemu ya matokeo haisaidii sana kwa sababu kwa mfumo wa kazi za tanzania;wanasema labda wanataka watu wenye degrre au form six,sasa ukiabatanisha na sehemu ya matokeo hatimae unakuwa uko between hivyo ni rahisi kupuuzwa.
   
 10. Opticf

  Opticf Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Cha msingi ni kuomba kazi ukitumia chet cha form six nahisi utafanikiwa
   
Loading...