jamani hivi hili linawezekana vp?

peterimoy

New Member
Jul 31, 2011
2
0
nafahamu kua miili ye2 ni kama injini za gari mara nyingine checkup ni muhimu,na mambo mengine huwa yanahitaji ushauri na wakati mwingine huwa mazoezi ndio tiba muhimu,sasa kwa sisi wenzangu na mimi ambao tuna hisia za mapenzi na tukifanya mazoezi na ukichangia ubusy ndio kujisahaurisha ila ikifika usiku mpango ule ule,na kama hatuitaji wapenzi kabisha je kupiga punyeto kuna masharti ili madhara usiyapate? Na hata ukipiga unatakiwa uweje ili usibezwe nayo maana huo ni kama mtihani wa mvutaji kutenganishwa na sigara!
 
Back
Top Bottom