Jamani Hivi Hii app ya iLocker ni ya nini?

Mr Mr

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
34
Reaction score
8
yani dijaielewa kabisa. unaweza kuta imejinstall yenyewe kwenye simu kisha inakukomand kufanya settings ambazo zinadisplay kwenye home screenna bila kuzikubali huwezi kuzitoa wala kufanya chochote kwenye hiyo simu. mfn. inakulazimisha kuactivat device administrator. kudiable system lock na mengine. wadau hii ipoje na kwann inajiinstall yenyewe kwenye simu? nijuzeni jamani kwa anaefahamu.
 
malware delete it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom