Jamani hisa za nmb, nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hisa za nmb, nisaidieni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msongoru, Aug 28, 2008.

 1. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hellow wana JF! Jukwaa la elimu.

  Natamani sana kununua hisa za NMB lakini nina mashaka, hebu mmoja wetu aliye na uelewa kidogo anisaidie. Je kweli inalipa kununua hisa hizo? au ndio tutajipatisha hasara?
   
 2. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani! Ni kweli hakuna wazoefu wa mambo ya hisa humu? Au ndio mmeamua kukanyagia? naombeni ushauri!!!
   
 3. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unaponunua IPO mara nyingi una nafasi kubwa ya kutengeneza pesa kuliko kuzinunua katika stock market baada ya IPO. Na isitoshe IPO nyingi zinakuwa na discount kidogo hivi. Bear in your mind hakuna guerantee ya kutengeneza pesa! do it in your own risk!!!
   
Loading...