miezi kadhaa iliyopita nilinunua king'muzi cha zuku nilikitumia yapata miezi 2 baadae sikuridhishwa na huduma zao. Nilivyoolizia badaadhi ya watu wangu wa karibu wakanambia "naweza nunua decorder ya king'amuzi chochote nikatoa kile cha zuku mambo yakaendelea ilihali dish ni la zuku".
Kweli nikanunua startimes decorder nikafunga (dish zuku, decoder startimes) huduma za startimes nikaendelea kuangalia kama kawaida.
Sasa cha ajabu nina miezi mitatu naangalia tena bure kabsa bila kukatiwa channel yoyote na zipo zaidi ya channel 70+ zikiwemo za kihidi. Hivi jamani hili linawezekana kweli? Au ni ofa tu nimepewa?
KARIBUNI
Wewe penda vya bure tu....ila vina mwisho wake...unajihisi bonge la MJANJAA......sidhani kama linawezekana hilo....Asante kwa taarifa tatizo lako tunalishughulikia tutalipatia ufumbuzi ndani ya masaa 72 kuanzia sasa
Mimi hapaaliyewaambia napenda vya bure nani?
Kuanzisha kesho tutakukatia channel zote.unapatikana wapmiezi kadhaa iliyopita nilinunua king'muzi cha zuku nilikitumia yapata miezi 2 baadae sikuridhishwa na huduma zao. Nilivyoolizia badaadhi ya watu wangu wa karibu wakanambia "naweza nunua decorder ya king'amuzi chochote nikatoa kile cha zuku mambo yakaendelea ilihali dish ni la zuku".
Kweli nikanunua startimes decorder nikafunga (dish zuku, decoder startimes) huduma za startimes nikaendelea kuangalia kama kawaida.
Sasa cha ajabu nina miezi mitatu naangalia tena bure kabsa bila kukatiwa channel yoyote na zipo zaidi ya channel 70+ zikiwemo za kihidi. Hivi jamani hili linawezekana kweli? Au ni ofa tu nimepewa?
KARIBUNI
Tutaipitia upya system usijali subiri utaonacard no# yangu huijui, namba yangu ya simu huijui, jina langu halisi hulijui mahali nilipo hupajui sasa utanifatiliaje kwa mfano.
KILE KIDUDEXKINACHOKAA JUU YA DISH KINAITWA UNIVERSAL ...... ( sikumbuki vizuri)na niliambiwa inatumika kwa dish aina zote hivo yaweza kuwa sawathread nimeiandika kimshangao ila naona wadau mirejesho yenu imejaa wivu na kejeri
ni kweli mkuu kiukweli ilinishangaza sana huduma kampuni tofauti zikaingiliana...mbaya zaidi hata kodi yao wameisahauKILE KIDUDEXKINACHOKAA JUU YA DISH KINAITWA UNIVERSAL ...... ( sikumbuki vizuri)na niliambiwa inatumika kwa dish aina zote hivo yaweza kuwa sawa