Jamani hii ni ya kweli? Tuambizane!!

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
3,511
3,477
Habari za majukumu wana JF wenzangu?

Hii ishu imekaa kiutani na kiudaku udaku vile japo nasikia ni Kitu ya kweli!
Jamani kama ni kweli naombeni mtujuze ambao hatujazaliwa zamani na kujua mienendo na jamii. Nasikia mtu akizaa mtoto wa kiume, kama mzazi wa kike akigundua kimb*oo cha mtoto huwa hakishituki inaonyesha Kuwa jogoo hatakuwa na uwezo wa kuwika! Anachofanya mama anakachukua kadudu ka mtoto anakagusisha kwenye K yake na mtoto akifanyiwa hivyo kamwe hilo tatizo halitampata maishani mwake. Sasa swali linakuja, ni kweli hii Kitu huwa inafanyika? Katika kabila gani humu Tanzania ama makabila yote?
Na kama tatizo hili linampata mtoto wa kike baba wa mtoto anagusisha dudu lake kwenye k ya binti yake?
Ni swali jamani make hiki Kitu nimekisikia kwa watu wengi na Mara nyingi lkn huwa hainiingii akilini kwamba kuna tiba gani inayofanyika hapo!
Nawasilisha!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Swali lako la msingi sina cha kukujibu, naungana na wewe ktk kusubiri, ila naomba nikuulize kidogo kuhusu mtoto wa kike, hivi mtoto wa kike nae anad_nda ee?
 
Swali lako la msingi sina cha kukujibu, naungana na wewe ktk kusubiri, ila naomba nikuulize kidogo kuhusu mtoto wa kike, hivi mtoto wa kike nae anad_nda ee?

Nami nilitaka kumuuliza hivyohivyo kuhusiana na mtoto wa kike. Lakini hizo ni imani tu. Sidhani kisayansi unaweza kujua katika umri huo mtoto wa kiume yupo sawa au ana matatizo. Kama kuna makabila/watu wanaamini hayo watujuze
 
SALOK na chamlungu, jamani mie nimeuliza nahitaji nijue wakuu msinibane! Pia msiseme ni imani tu rejeeni pia swali langu la msingi, je hiki Kitu kipo? Na ktk kabila gani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
mimi nasikia kitovu kikidondokea kwenye mashine, mama lazima agusishe la sivyo katosimanisha.
 
Back
Top Bottom