Jamani hii ndiyo hali hilsi!!!!!!!

Jamani hii ndiyo hali hilsi!!!!!!!

MwanzoMugumu

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
24
Reaction score
22
Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba ya kutisha katika moja ya mitaa ya Jiji la Mwanza, Waziri huyu anatoka katika wizara moja nyeti. Tena waziri mwenyewe kijana. Tutafika jamani?????
 
tena waziri mwenyewe anapenda kunyoa '****'
 
Weka jina hata na picha ya nyumba tukamshitaki maana jtatu anajiuzuru
 
Dare to talk openly because:
1)Ndio rule no 1 ya chadema
2)I dont do homework anymore
 
tena waziri mwenyewe anapenda kunyoa '****'

Wizara yake inashughulika na kuchimba mashimo na uharibifu mwingine wa mazigira + uzulumati wa lasilimali zisizooza za watanzania . Pia ndio yule anatumia pesa nyingi lakini anakusanya kidogo katika kuzalisha ile bidhaa inayoangazia maisha yetu
 
Si umtaje tu huyo waziri,nchi hii sasa hivi sio ya kuficha uovu unaotokea,kama ni kweli tunakuomba umtaje huyo waziri kwa manufaa ya taifa.
 
Do you mean minister of energy and mineral resources? Let me know please because we need to do something about it.
 
Jf, hakuna siri tupe jina na eneo sasa hivi nitatuma picha niko bado mjini maeneo ya Moil.
 
Mwanzomugumu ndiyo jina lako halisi?
Kama ni ID ya humu je, huyo waziri anajua hiyo ID inatumiwa na nani?
Kama haijui na bado umeificha jina lake unastahili kutukanwa kwa upuuzi wako.
Deo alimtaja hadharani mbele ya bunge na mbele ya watanzania kuwa Mkulo ni mwizi, sasa wewe unachokificha ni nini?
Watu kama wewe hawafai katika harakati za ukombozi.
Taja jina la waziri tukafanye mpango wa kumfilisi
Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba ya kutisha katika moja ya mitaa ya Jiji la Mwanza, Waziri huyu anatoka katika wizara moja nyeti. Tena waziri mwenyewe kijana. Tutafika jamani?????
 
wee wanakudanganya usimtaje WILLIAM NGELEJA utakuwa hupati umeme kwakô,shauri yako,.watakuponza wana JF,fanya siri yako

tehe tehe..nyumba ipo mitaa ya kapipoint karibu na Chuo cha BoT ama ipo Bwiru pale mbele ya kitangiri..ivi umeme umewekwa toka kampuni ya WILLIAM NGELEJAEEEEE..
 
sasa unaficha nini si useme tu ngereja?.
 
Back
Top Bottom