Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 811
Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba ya kutisha katika moja ya mitaa ya Jiji la Mwanza, Waziri huyu anatoka katika wizara moja nyeti. Tena waziri mwenyewe kijana. Tutafika jamani?????
Wakijiuzulu kinachofuata ni kuwafungulia mashitaka na kuwafirisi washenzi hao!