Jamani hii nchi yetu vipi?

Sina shida sana na malalamiko yenu, ila naona mnatumia nguvu sana pasipo na tija (au impact) kuna issue za msingi inatakiwa tuelimishane na sio maamuzi ya Rais kuhusu mapumziko
 
Sina shida sana na malalamiko yenu, ila naona mnatumia nguvu sana pasipo na tija (au impact) kuna issue za msingi inatakiwa tuelimishane na sio maamuzi ya Rais kuhusu mapumziko

nshajua upande unakotokea.....! tuishie hapa tafadhali!!
 
Mkuu mimi hata holiday ikifika hadi Ijumaa poa tu
Unadhani hata tukienda job ndo kwaanza tunazidi kuwazalishia mafisadi
 
Nyie waserikalini pumzikeni tu kwa amani ya serikali yenu,wenye kazi zenu private changamkieni fursa hizo kwa kupiga kazi kwa sana. Holiday siku mbili !!! Aise,
 
Mapumziko ni kesho,kesho kutwa ni sikukuu kuunganika kwake ndio kumekupa shida ila watanganyika bwana mkiwa kazini mnatoroka mapema mkiambiwa mpumzike pia shida

Ina maana wametangaza ghafla?... hawajali kuwa kuna watu walikuwa wameshaweka miadi ya kikazi?...
Na wengi wameshapanga ratiba mbalimbali za kazi?
 
Aisee hata mimi nimeduwaa,..sasa cjui mapinduzi ni tarehe 12/01/1964 au tarehe 13/01/1964!...aise mtoto ameniswalika hapa cjui nimpe jibu gan??:sleep:
 
Weraaaa weraaaa.... Kufa kufaana,wengine huku kwetu ni kicheko maana ndio muda mzuri wa kutembelea na kukagua bustani zetu kuangalia kama palizi zimefanywa kwa umakini. TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE
 
Haswaaaaa

Mie nimefurahije

Maana shughuli binafsi zinaendelea i wish angesema tupumzike hadi alhamisi
 
Mmmh! Mimi nimegoma kesho naenda kazini kama kawa!!
 
Wazo hill...! Ingekuwa vyema sana kama tungelipewa scale of preference..! Wale wanaopenda kwenda kazini waende kwa malipo maalum!

Ninyi mnaotaka kumwagilia bustani, mwende kwa amani!

Haswaaaaa

Mie nimefurahije

Maana shughuli binafsi zinaendelea i wish angesema tupumzike hadi alhamisi
 
Haya maneno yaishie tz hapa hapa! Ukienda korea halafu ukafurahia shudu kama hizi, wanakutoa sadaka kwa mbwa mbele ya umma!

Weraaaa weraaaa.... Kufa kufaana,wengine huku kwetu ni kicheko maana ndio muda mzuri wa kutembelea na kukagua bustani zetu kuangalia kama palizi zimefanywa kwa umakini. TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE
 
Mwambie kesho ni mapinduzi dhidi ya muungano!

Mwambie tumechoka kuusikia huu muungano kati ya zanzibar na zimbabwe! Tunataka tuuvunje!

Mtot wako atakuelewa sana!

Aisee hata mimi nimeduwaa,..sasa cjui mapinduzi ni tarehe 12/01/1964 au tarehe 13/01/1964!...aise mtoto ameniswalika hapa cjui nimpe jibu gan??:sleep:
 
Yani sie ni wavivu mpaka kwenye kulinda mali zetu!

Sisi ni wavivu mpaka kwenye kutetea kilicho bora...!

Hivi mlima kilimanjaro uko dodoma ama nairobi?

Wakenya wakitusema sisi wavivu tunakasirika.
 
Acha tupumzike wewe nilikuwa nafikiria kipindi kesho asubuh nishike chaki sasa nikafanye kaz zangu binafsi za kuingiza kipato cha ziada.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…