excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
Habari zenu wana MMU... najua wengi mtasema hapa si mahala pake, lakini mimi naona ni sahihi kabibisa niiweke hii mada hapa kwa sababu nini mapenzi mema na nchi yangu!!
kwa kweli mimi ninachoshwa na hali hii tuliyonayo ya umasikini, badala ya watu kufanya kazi, tunatangaziwa kwamba kesho na keshokutwa ni holidays..! hivi kwa jinsi hii nchi itapiga hautua kweli katika kuyakimbiza maendeleo mbele?
hivi kuna haja gani kuwa na public holidays kwa siku mbili mfululizo? kwani siku ikisherehekewa mara moja kutatokea nini?
binafsi nimejisi vibaya sana niliposikia redioni wanatangaza kwamba kesho jumatatu na keshokutwa ni mapumziko!!
kwajinsi hii, hii nchi itaendelea kwa spidi mbovu sana... otherwise tuapply theory ya blodd and iron!
sijui kama nimeeleweka, ila nimechukizwa kwa hiki kitendo cha kesho na keshokutwa kwa kweli..!!