Mi nilijuaga huo Moshi ndo mnogesho wa safari sasa..😂Hiyo ndege ni yakawaida tu na huo unaouona kama moshi,sio moshi bali ni mgandamizo wa joto la injini unapokutana na hali ya hewa yaubaridi huko juu.
Ngoja ngoja twende taratibu jibu na hili inakuwaje hapa duniani tunapata joto kali na huko juu kuwe na baridi kali wakati joto tunalolipata huku ndo linatoka huko..??????Kwa ufupi tu kinachotokea pale ni kwamba,kama umewahi kuishi sehemu zenye baridi kama iringa au mbeya kuna muda ukiamka asubuhi ukiongea una toa moshi/mvuke mdomoni sasa basi hewa inayotoka mdomoni inakua ni ya moto kuliko inayokuzunguka nje kwa hiyo inakua inalazimishwa kupoa itokapo mdomoni hapo ndipo unaona ule moshi ukipumua kupitia mdomo na ndivyo hivyo hivyo kwenye ndege zinazopita kwenye anga za kimataifa pale kunakua na baridi kali kwa hiyo hewa ya joto kali inayotoka kwenye jet engine ikikutana na baridi kali inalazimishwa kupoozwa hapo ndipo unapo ona ule moshi/mvuke
Nadhani utakua umeelewa kwa ufupi mleta uzi
Samahani kuuliza, unaposema anga la kimataifa inamaanisha nn? na hua zinaelekea wapi? haziwezi tua hapa kwetu?Ni ndege ya Kawaida tu, Kule unakoona zinapita nia Anga ya Kimataifa.
Ndege yenye Jet engine hutoa hizo Condensation trails, husababishwa na hewa ya moto iliyotoka kwenye engine inapokutana na hewa ya ubaridi, hupoa haraka na kutengeneza hilo kama wingu.Mi nilijuaga huo Moshi ndo mnogesho wa safari sasa..😂
Siku hizi hakuna concorde. Matumizi yake yalishasitizwa kitambo tuKwa uelewa wangu huu mdogo, ila wanaojua zaidi watasema hii ni Ndege Kasi aina ya Concorde ambayo kwa Afrika inatua tu Cairo na Cape Town.
Rocket nasijua mkuu tena vizuri kushinda vizuri kwenyewe..😜Ndege yenye Jet engine hutoa hizo Condensation trails,husababishwa na hewa ya moto iliyotoka kwenye engine inapokutana na hewa ya ubaridi,hupoa haraka na kutengeneza hilo kama wingu,
Rocket sio ndege wala haina uwanja wakutua bali hua na lauching pad,pia rocket husafiri vertical na sio Horizontal,
Rocket sio ndege bali ni chombo kinachotumika kupeleka vifaa kwenye sayari za mbali.
Anga la kimataifa ndo huko juu kabisa zinapopita hizo ndege kubwakubwa.. it means hakuna nchi inamiliki hilo anga isipokuwa Kuna kimo ukipita Kuna anga la kila taifa mfano tz .. sijui umbali exactly wa kwenda juu ndo inakuwa si anga lakimataifa ila nafikiri upo umbali huo.. so ukishuka chini ya huo umbali unakuwa umeingia kwenye anga la nchi fulani itategemea na upo nchi gani so wanahaki ya kukuhoji,kukuzuia usitue endapo wakitia shaka n.k..
Samahani kuuliza, unaposema anga la kimataifa inamaanisha nn? na hua zinaelekea wapi? haziwezi tua hapa kwetu?
Safi kabisa.Kwa ufupi tu kinachotokea pale ni kwamba,kama umewahi kuishi sehemu zenye baridi kama iringa au mbeya kuna muda ukiamka asubuhi ukiongea una toa moshi/mvuke mdomoni sasa basi hewa inayotoka mdomoni inakua ni ya moto kuliko inayokuzunguka nje kwa hiyo inakua inalazimishwa kupoa itokapo mdomoni hapo ndipo unaona ule moshi ukipumua kupitia mdomo na ndivyo hivyo hivyo kwenye ndege zinazopita kwenye anga za kimataifa pale kunakua na baridi kali kwa hiyo hewa ya joto kali inayotoka kwenye jet engine ikikutana na baridi kali inalazimishwa kupoozwa hapo ndipo unapo ona ule moshi/mvuke
Nadhani utakua umeelewa kwa ufupi mleta uzi
Yanapokuja mambo yasiyo ya SIASA, huwa tunafaidika sana kutoka kwa wasomi, au kutoka kwa wanaojua kitu usichokijua nk.
Samahani kuuliza, unaposema anga la kimataifa inamaanisha nn? na hua zinaelekea wapi? haziwezi tua hapa kwetu?