GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,761
- 128,260
Huu utafiti uliotukuka umefanyika wapi mkuu? Nnachofahamu wanyama wana intelijensia ya hali ya juu sana. Namsikia sana kakakuona kwenye mambo mengi ya utabiri na bahati japo sijawahi thibitisha hilo.
Jana nimemtimua mmoja kwenye meza yangu na kampiga teke lakini alirudiTena Wewe anaweza hata asikusogelee kabisa!
Jana nimemtimua mmoja kwenye meza yangu na kampiga teke lakini alirudi
Tena mno mpaka nawapiga wanarudiKwahiyo ndiyo kusema kwamba Dada yangu una Roho nzuri iliyotukuka?
sio kweli
Tena mno mpaka nawapiga wanarudi
Nilikuwa nimevaa jinziau labda huwa wanarudi tu kuichungulia Mbunye kimtindo?
Mkuu Mbona hii haijakaa kisayansi zaidi ipo kutamaduni na Kimila zaidi!!!Inasemekana kwamba Paka ndiyo Mnyama pekee ambaye anaweza kwa haraka sana kutambua ama roho mbaya ya Mtu au roho nzuri yake na kwamba huweza kukutambua kwa muda wa kati ya sekunde tatu hadi tano tu kukujua.
Ni kwamba kama ukiwa mmekaa Watu wawili na kuendelea kisha mara ghafla akatokea Paka na kwamba ukimwona tu huyo Paka anawatembelea ( kuwapapasa ) sana Wenzio pale tena bila wasiwasi huku Wewe akikuchunia jua ya kwamba tayari anakuwa ameshajua Kipaji cha Upendo cha wale wenzako na pia kukijua Kipaji chako cha Roho mbaya iliyokutukuka.
Hii kitu imekwenda mbali zaidi na kusemekana kwamba hata kwa Mzazi ambaye una Mtoto wako mdogo ( Toddler ) kama ukitaka tu kujua haraka jinsi tabia yake itakavyokuja kuwa kama akikuwa basi mchukue Paka kisha msogeze nae na ukiona yule Paka anaonyesha ushirikiano nae vizuri kila mara jua umezaa Mtoto mwema na kama ukiona kila ukijitahidi tu kumbeba Paka na kumweka na Mwanao huyo ama Paka analia au anataka kukimbia au pengine hata Kukung'ata jua ya kwamba umetuletea Tanzania Njemba yenye roho mbaya sana.
Je hili lina ukweli gani Wadau?
Karibuni mtiririke na mserereke.
Shikamoo Paka!
Nilikuwa nimevaa jinzi
Basi sasa nimeelewaHata ukivalia Jeans nasikia Paka kwa ubarikio wao walionao bado wanaweza tu pia kujua taswira nzima ya mwonekano wa Mbunye na ukiona wanakuja sana na yenyewe ni ishara kuwa labda una Mbunye iliyotukuka.
Mbona post yako inaonyesha ni kama vile Paka alishawahi kukukwepa mara kadhaa Mkuu?