shuve JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 312 Reaction score 103 Dec 30, 2012 #21 Funguka vizuri hueleweki ,coz cjui nikushauri vip
M Makunga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 771 Reaction score 551 Dec 30, 2012 #22 pole yake,km anampenda avumilie tu huenda siku moja akapanda chati akawa mama mwenye nyumba.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Dec 30, 2012 #23 Duh. Hivi nyumba ndogo ambayo nyumba kubwa yayo haina ndoa inaitwaje? Yaani mkaka single anamcheat gf wake! Asprin na Kongosho; njooni na kamusi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Duh. Hivi nyumba ndogo ambayo nyumba kubwa yayo haina ndoa inaitwaje? Yaani mkaka single anamcheat gf wake! Asprin na Kongosho; njooni na kamusi.
Purple JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 2,027 Reaction score 935 Dec 30, 2012 #24 sijaelewa hivi kinachomatter kwenye uhusiano ni how long mtu amekua na uhusiano na mtu au ni kiasi gani mtu anampenda mtu?:confused2:
sijaelewa hivi kinachomatter kwenye uhusiano ni how long mtu amekua na uhusiano na mtu au ni kiasi gani mtu anampenda mtu?:confused2:
SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 308 Dec 30, 2012 #25 Evelyn Salt said: Mwambie a-play her part tu, ubunifu ujuzi mwingi she ll finally be the winner.... atamuachaje bwana wakati anampenda tena sio mme wa mtu!!!! Click to expand... Hahaha nimeopenda iyo point Angelina Jolie
Evelyn Salt said: Mwambie a-play her part tu, ubunifu ujuzi mwingi she ll finally be the winner.... atamuachaje bwana wakati anampenda tena sio mme wa mtu!!!! Click to expand... Hahaha nimeopenda iyo point Angelina Jolie
Tetra JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 1,526 Reaction score 771 Dec 30, 2012 #26 Akiumiza IPO SIKU ataumizwa,,malipo duniani.