Jamani!! Haya mapenzi sijawahi kuyaona...!!

mjomba ww unajua ana pesa ndefu, na ndio unayoitaka, ya nini kutafta ushauri na jibu unalo?
 
kwani angekuwa binti ndo ungemwamin kuwa hana ngoma?nenda mkapime wote kama umempenda kuna watu wanataman wapate kama ww mwenyew hela ndefu kama huyu hujui "riziki ya mtu iko kwa mtu"au unahis ukiona mtu katoka kimaisha ni kuwa kashushiwa kapu la pesa?we shangaashangaa tu
 

Umejuaje jooo? Mzuka sana mkuu,naufanyia kazi ushauri wako.
 
Inawezekana anakupenda kweli bana maana "mapenzi ni sawa na m.a.t.a.k.o ya mwehu hayachagui pa kukaa",si unajua kichaa anakaa popote hata juu ya makaa ya moto mkuu!

hahahahahahahahahahahah...
acha kumtetea huyu mtu...
hiyo ajira inadhalilisha utu wake, aachane na utumwa wa ngono afanye maisha...
 
Kuna wenzako wameleta sredi kama hii na wakashauriwa vizuri tu, hebu search utapata majibu, usiwe mvivu!
 

kama personality yako ni ya vya bure utaiona hiyo pesa ni ndefu, kama personality yako inapenda ulichokifanyia kazi, na ulicho na uhuru nacho huyo mama si kitu kwako. hawa ni wa mama waliopoteza uelekeo, hata hiyo pesa haina uwingi wowote bali wewe waiona ndefu kwakuwa hujui inapatikanaje. nakushauri, mapenzi yapo, lakini pesa usiyoijua itakutia utumwa, achana nayo. jifunze kujitafutia, nasema jifunze kwakuwa naona hiyo pesa ya mama inataka kuku kamata.
 
sasa title ya 'haya mapenzi sijawahi kuona'
inahusika vipi na story???????

Utoto, utakuta ndo kwanza yupo 25 y.o. halafu anadai "hajawahi kuona" as if ameona kupitiliza.
 
funga nae ndoa ndio utazifaidi,ila mkapime kwanza!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…